Native Bible

Psalms 26:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama; nikomboe na unihurumie.

Psalms 26:11 in English

Psalms 26:11 · Berean Standard Bible

But I will walk with integrity; redeem me and be merciful to me.

Context

9Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi, wala uhai wangu pamoja na wamwagao damu, 10ambao mikononi mwao kuna mipango miovu, ambao mikono yao ya kuume imejaa rushwa. 11Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama; nikomboe na unihurumie. 12Miguu yangu imesimama katika uwanja tambarare; katika kusanyiko kuu nitamsifu Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.