Native Bible

Psalms 25:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uangalie mateso na shida zangu na uniondolee dhambi zangu zote.

Psalms 25:18 in English

Psalms 25:18 · Berean Standard Bible

Consider my affliction and trouble, and take away all my sins.

Context

16Nigeukie na unihurumie, kwa maana mimi ni mpweke na mwenye kuteseka. 17Shida za moyo wangu zimeongezeka, niokoe katika dhiki yangu. 18Uangalie mateso na shida zangu na uniondolee dhambi zangu zote. 19Tazama adui zangu walivyo wengi, pia uone jinsi wanavyonichukia vikali! 20Uyalinde maisha yangu na uniokoe, usiniache niaibike, kwa maana nimekukimbilia wewe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.