Zaburi 25:19
Psalms 25:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tazama adui zangu walivyo wengi, pia uone jinsi wanavyonichukia vikali!
Psalms 25:19 in English
Psalms 25:19 · Berean Standard Bible
Consider my enemies, for they are many, and they hate me with vicious hatred.
Context
17Shida za moyo wangu zimeongezeka,
niokoe katika dhiki yangu. 18Uangalie mateso na shida zangu
na uniondolee dhambi zangu zote. 19Tazama adui zangu walivyo wengi,
pia uone jinsi wanavyonichukia vikali! 20Uyalinde maisha yangu na uniokoe,
usiniache niaibike,
kwa maana nimekukimbilia wewe. 21Uadilifu na uaminifu vinilinde,
kwa sababu tumaini langu ni kwako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.