Native Bible

Psalms 25:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shida za moyo wangu zimeongezeka, niokoe katika dhiki yangu.

Psalms 25:17 in English

Psalms 25:17 · Berean Standard Bible

The troubles of my heart increase; free me from my distress.

Context

15Macho yangu humwelekea Bwana daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego. 16Nigeukie na unihurumie, kwa maana mimi ni mpweke na mwenye kuteseka. 17Shida za moyo wangu zimeongezeka, niokoe katika dhiki yangu. 18Uangalie mateso na shida zangu na uniondolee dhambi zangu zote. 19Tazama adui zangu walivyo wengi, pia uone jinsi wanavyonichukia vikali!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.