Zaburi 25:16
Psalms 25:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nigeukie na unihurumie, kwa maana mimi ni mpweke na mwenye kuteseka.
Psalms 25:16 in English
Psalms 25:16 · Berean Standard Bible
Turn to me and be gracious, for I am lonely and afflicted.
Context
14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao,
yeye huwajulisha agano lake. 15Macho yangu humwelekea Bwana daima,
kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa
miguu yangu kutoka mtego. 16Nigeukie na unihurumie,
kwa maana mimi ni mpweke na mwenye kuteseka. 17Shida za moyo wangu zimeongezeka,
niokoe katika dhiki yangu. 18Uangalie mateso na shida zangu
na uniondolee dhambi zangu zote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.