Native Bible

Psalms 25:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Macho yangu humwelekea Bwana daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego.

Psalms 25:15 in English

Psalms 25:15 · Berean Standard Bible

My eyes are always on the LORD, for He will free my feet from the mesh.

Context

13Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake, nao wazao wake watairithi nchi. 14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, yeye huwajulisha agano lake. 15Macho yangu humwelekea Bwana daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego. 16Nigeukie na unihurumie, kwa maana mimi ni mpweke na mwenye kuteseka. 17Shida za moyo wangu zimeongezeka, niokoe katika dhiki yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.