Native Bible

Psalms 25:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake, nao wazao wake watairithi nchi.

Psalms 25:13 in English

Psalms 25:13 · Berean Standard Bible

His soul will dwell in prosperity, and his descendants will inherit the land.

Context

11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi. 12Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana? Atamfundisha katika njia atakayoichagua kwa ajili yake. 13Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake, nao wazao wake watairithi nchi. 14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, yeye huwajulisha agano lake. 15Macho yangu humwelekea Bwana daima, kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa miguu yangu kutoka mtego.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.