Native Bible

Psalms 25:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana? Atamfundisha katika njia atakayoichagua kwa ajili yake.

Psalms 25:12 in English

Psalms 25:12 · Berean Standard Bible

Who is the man who fears the LORD? He will instruct him in the path chosen for him.

Context

10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake. 11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi. 12Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana? Atamfundisha katika njia atakayoichagua kwa ajili yake. 13Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake, nao wazao wake watairithi nchi. 14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, yeye huwajulisha agano lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.