Native Bible

Psalms 25:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake.

Psalms 25:10 in English

Psalms 25:10 · Berean Standard Bible

All the LORD’s ways are loving and faithful to those who keep His covenant and His decrees.

Context

8Bwana ni mwema na mwenye adili, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 9Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, naye huwafundisha njia yake. 10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake. 11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi. 12Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana? Atamfundisha katika njia atakayoichagua kwa ajili yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.