Native Bible

Psalms 25:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ni mwema na mwenye adili, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake.

Psalms 25:8 in English

Psalms 25:8 · Berean Standard Bible

Good and upright is the LORD; therefore He shows sinners the way.

Context

6Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani. 7Usizikumbuke dhambi za ujana wangu wala njia zangu za uasi, sawasawa na upendo wako unikumbuke, kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana. 8Bwana ni mwema na mwenye adili, kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 9Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, naye huwafundisha njia yake. 10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.