Zaburi 25:6
Psalms 25:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani.
Psalms 25:6 in English
Psalms 25:6 · Berean Standard Bible
Remember, O LORD, Your compassion and loving devotion, for they are from age to age.
Context
4Nionyeshe njia zako, Ee Bwana,
nifundishe mapito yako, 5niongoze katika kweli yako na kunifundisha,
kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu,
nalo tumaini langu liko kwako wakati wote. 6Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo,
kwa maana zimekuwepo tangu zamani. 7Usizikumbuke dhambi za ujana wangu
wala njia zangu za uasi,
sawasawa na upendo wako unikumbuke,
kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana. 8Bwana ni mwema na mwenye adili,
kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.