Native Bible

Psalms 25:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nionyeshe njia zako, Ee Bwana, nifundishe mapito yako,

Psalms 25:4 in English

Psalms 25:4 · Berean Standard Bible

Show me Your ways, O LORD; teach me Your paths.

Context

2ni wewe ninayekutumainia, Ee Mungu wangu. Usiniache niaibike, wala usiache adui zangu wakanishinda. 3Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea atakayeaibishwa, bali wataaibishwa wafanyao hila bila sababu. 4Nionyeshe njia zako, Ee Bwana, nifundishe mapito yako, 5niongoze katika kweli yako na kunifundisha, kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu, nalo tumaini langu liko kwako wakati wote. 6Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.