Native Bible

Psalms 25:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

niongoze katika kweli yako na kunifundisha, kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu, nalo tumaini langu liko kwako wakati wote.

Psalms 25:5 in English

Psalms 25:5 · Berean Standard Bible

Guide me in Your truth and teach me, for You are the God of my salvation; all day long I wait for You.

Context

3Kamwe hakuna hata mmoja anayekutegemea atakayeaibishwa, bali wataaibishwa wafanyao hila bila sababu. 4Nionyeshe njia zako, Ee Bwana, nifundishe mapito yako, 5niongoze katika kweli yako na kunifundisha, kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu, nalo tumaini langu liko kwako wakati wote. 6Kumbuka, Ee Bwana, rehema zako kuu na upendo, kwa maana zimekuwepo tangu zamani. 7Usizikumbuke dhambi za ujana wangu wala njia zangu za uasi, sawasawa na upendo wako unikumbuke, kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.