Zaburi 25:9
Psalms 25:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, naye huwafundisha njia yake.
Psalms 25:9 in English
Psalms 25:9 · Berean Standard Bible
He guides the humble in what is right and teaches them His way.
Context
7Usizikumbuke dhambi za ujana wangu
wala njia zangu za uasi,
sawasawa na upendo wako unikumbuke,
kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana. 8Bwana ni mwema na mwenye adili,
kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 9Huwaongoza wanyenyekevu katika haki,
naye huwafundisha njia yake. 10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu
kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake. 11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako,
unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.