Native Bible

Psalms 25:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi.

Psalms 25:11 in English

Psalms 25:11 · Berean Standard Bible

For the sake of Your name, O LORD, forgive my iniquity, for it is great.

Context

9Huwaongoza wanyenyekevu katika haki, naye huwafundisha njia yake. 10Njia zote za Bwana ni za upendo na uaminifu kwa wale wanaoshika shuhuda za agano lake. 11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, unisamehe uovu wangu, ijapokuwa ni mwingi. 12Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana? Atamfundisha katika njia atakayoichagua kwa ajili yake. 13Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake, nao wazao wake watairithi nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.