Zaburi 25:14
Psalms 25:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, yeye huwajulisha agano lake.
Psalms 25:14 in English
Psalms 25:14 · Berean Standard Bible
The LORD confides in those who fear Him, and reveals His covenant to them.
Context
12Ni nani basi, mtu yule anayemcha Bwana?
Atamfundisha katika njia
atakayoichagua kwa ajili yake. 13Mtu huyo atafanikiwa maishani mwake,
nao wazao wake watairithi nchi. 14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao,
yeye huwajulisha agano lake. 15Macho yangu humwelekea Bwana daima,
kwa kuwa yeye peke yake ndiye ataitoa
miguu yangu kutoka mtego. 16Nigeukie na unihurumie,
kwa maana mimi ni mpweke na mwenye kuteseka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.