Native Bible

Psalms 22:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau.

Psalms 22:6 in English

Psalms 22:6 · Berean Standard Bible

But I am a worm and not a man, scorned by men and despised by the people.

Context

4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa. 5Walikulilia wewe na ukawaokoa, walikutegemea wewe nao hawakuaibika. 6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 7Wote wanionao hunidhihaki, hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 8Husema, “Anamtegemea Bwana, basi Bwana na amwokoe. Amkomboe basi, kwa maana anapendezwa naye.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.