Zaburi 22:7
Psalms 22:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wote wanionao hunidhihaki, hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:
Psalms 22:7 in English
Psalms 22:7 · Berean Standard Bible
All who see me mock me; they sneer and shake their heads:
Context
5Walikulilia wewe na ukawaokoa,
walikutegemea wewe nao hawakuaibika. 6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu,
wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 7Wote wanionao hunidhihaki,
hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 8Husema, “Anamtegemea Bwana,
basi Bwana na amwokoe.
Amkomboe basi, kwa maana
anapendezwa naye.” 9Hata hivyo ulinitoa tumboni,
ukanifanya nikutegemee,
hata nilipokuwa ninanyonya
matiti ya mama yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.