Native Bible

Psalms 22:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Husema, “Anamtegemea Bwana, basi Bwana na amwokoe. Amkomboe basi, kwa maana anapendezwa naye.”

Psalms 22:8 in English

Psalms 22:8 · Berean Standard Bible

“He trusts in the LORD, let the LORD deliver him; let the LORD rescue him, since He delights in him.”*

Context

6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 7Wote wanionao hunidhihaki, hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 8Husema, “Anamtegemea Bwana, basi Bwana na amwokoe. Amkomboe basi, kwa maana anapendezwa naye.” 9Hata hivyo ulinitoa tumboni, ukanifanya nikutegemee, hata nilipokuwa ninanyonya matiti ya mama yangu. 10Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa, toka tumboni mwa mama yangu umekuwa Mungu wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.