Native Bible

Psalms 22:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo ulinitoa tumboni, ukanifanya nikutegemee, hata nilipokuwa ninanyonya matiti ya mama yangu.

Psalms 22:9 in English

Psalms 22:9 · Berean Standard Bible

Yet You brought me forth from the womb; You made me secure at my mother’s breast.

Context

7Wote wanionao hunidhihaki, hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 8Husema, “Anamtegemea Bwana, basi Bwana na amwokoe. Amkomboe basi, kwa maana anapendezwa naye.” 9Hata hivyo ulinitoa tumboni, ukanifanya nikutegemee, hata nilipokuwa ninanyonya matiti ya mama yangu. 10Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa, toka tumboni mwa mama yangu umekuwa Mungu wangu. 11Usiwe mbali nami, kwa maana shida iko karibu na hakuna wa kunisaidia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.