Zaburi 22:11
Psalms 22:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiwe mbali nami, kwa maana shida iko karibu na hakuna wa kunisaidia.
Psalms 22:11 in English
Psalms 22:11 · Berean Standard Bible
Be not far from me, for trouble is near and there is no one to help.
Context
9Hata hivyo ulinitoa tumboni,
ukanifanya nikutegemee,
hata nilipokuwa ninanyonya
matiti ya mama yangu. 10Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa,
toka tumboni mwa mama yangu
umekuwa Mungu wangu. 11Usiwe mbali nami,
kwa maana shida iko karibu
na hakuna wa kunisaidia. 12Mafahali wengi wamenizunguka,
mafahali wa Bashani wenye nguvu
wamenizingira. 13Simba wangurumao wanaorarua mawindo
yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.