Native Bible

Psalms 22:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mafahali wengi wamenizunguka, mafahali wa Bashani wenye nguvu wamenizingira.

Psalms 22:12 in English

Psalms 22:12 · Berean Standard Bible

Many bulls surround me; strong bulls of Bashan encircle me.

Context

10Nimekabidhiwa kwako tangu kuzaliwa, toka tumboni mwa mama yangu umekuwa Mungu wangu. 11Usiwe mbali nami, kwa maana shida iko karibu na hakuna wa kunisaidia. 12Mafahali wengi wamenizunguka, mafahali wa Bashani wenye nguvu wamenizingira. 13Simba wangurumao wanaorarua mawindo yao hupanua vinywa vyao dhidi yangu. 14Nimemiminwa kama maji, mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. Moyo wangu umegeuka kuwa nta, umeyeyuka ndani yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.