Native Bible

Psalms 22:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Walikulilia wewe na ukawaokoa, walikutegemea wewe nao hawakuaibika.

Psalms 22:5 in English

Psalms 22:5 · Berean Standard Bible

They cried out to You and were set free; they trusted in You and were not disappointed.

Context

3Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.* 4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa. 5Walikulilia wewe na ukawaokoa, walikutegemea wewe nao hawakuaibika. 6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu, wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau. 7Wote wanionao hunidhihaki, hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.