Native Bible

Psalms 22:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.*

Psalms 22:3 in English

Psalms 22:3 · Berean Standard Bible

Yet You are holy, enthroned on the praises of Israel.

Context

1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 2Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi. 3Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.* 4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa. 5Walikulilia wewe na ukawaokoa, walikutegemea wewe nao hawakuaibika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.