Native Bible

Psalms 22:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu?

Psalms 22:1 in English

Psalms 22:1 · Berean Standard Bible

My God, my God, why have You forsaken me?* Why are You so far from saving me, so far from my words of groaning?

Context

1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha? Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa? Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 2Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi. 3Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu; wewe ni sifa ya Israeli.*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.