Zaburi 22:2
Psalms 22:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu, hata usiku, sinyamazi.
Psalms 22:2 in English
Psalms 22:2 · Berean Standard Bible
I cry out by day, O my God, but You do not answer, and by night, but I have no rest.
Context
1Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Kwa nini uko mbali hivyo kuniokoa?
Mbali hivyo na maneno ya kuugua kwangu? 2Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu,
hata usiku, sinyamazi. 3Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu;
wewe ni sifa ya Israeli.* 4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao,
walikutumaini nawe ukawaokoa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.