Zaburi 22:4
Psalms 22:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao, walikutumaini nawe ukawaokoa.
Psalms 22:4 in English
Psalms 22:4 · Berean Standard Bible
In You our fathers trusted; they trusted and You delivered them.
Context
2Ee Mungu wangu, ninalia mchana, lakini hunijibu,
hata usiku, sinyamazi. 3Hata hivyo umesimikwa katika kiti cha enzi kama Uliye Mtakatifu;
wewe ni sifa ya Israeli.* 4Kwako wewe baba zetu waliweka tumaini lao,
walikutumaini nawe ukawaokoa. 5Walikulilia wewe na ukawaokoa,
walikutegemea wewe nao hawakuaibika. 6Mimi ni mnyoo wala si mwanadamu,
wanaume wamenibeza, na watu wamenidharau.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.