Native Bible

Psalms 18:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kamba za mauti zilinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea.

Psalms 18:4 in English

Psalms 18:4 · Berean Standard Bible

The cords of death encompassed me; the torrents of chaos overwhelmed me.

Context

2Bwana ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu. 3Ninamwita Bwana anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu. 4Kamba za mauti zilinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea. 5Kamba za kuzimu zilinizunguka, mitego ya mauti ilinikabili. 6Katika shida yangu nalimwita Bwana, nilimlilia Mungu wangu anisaidie. Kutoka hekaluni mwake alisikia sauti yangu, kilio changu kikafika mbele zake, masikioni mwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.