Zaburi 18:3
Psalms 18:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ninamwita Bwana anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.
Psalms 18:3 in English
Psalms 18:3 · Berean Standard Bible
I will call upon the LORD, who is worthy to be praised; so shall I be saved from my enemies.
Context
1Nakupenda wewe, Ee Bwana,
nguvu yangu. 2Bwana ni mwamba wangu,
ngome yangu na mwokozi wangu,
Mungu wangu ni mwamba,
ambaye kwake ninakimbilia.
Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu,
ngome yangu. 3Ninamwita Bwana anayestahili kusifiwa,
nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu. 4Kamba za mauti zilinizunguka,
mafuriko ya maangamizi yalinilemea. 5Kamba za kuzimu zilinizunguka,
mitego ya mauti ilinikabili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.