Native Bible

Psalms 18:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nakupenda wewe, Ee Bwana, nguvu yangu.

Psalms 18:1 in English

Psalms 18:1 · Berean Standard Bible

I love You, O LORD, my strength.

Context

1Nakupenda wewe, Ee Bwana, nguvu yangu. 2Bwana ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu. 3Ninamwita Bwana anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.