Native Bible

Psalms 18:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu.

Psalms 18:2 in English

Psalms 18:2 · Berean Standard Bible

The LORD is my rock, my fortress, and my deliverer. My God is my rock, in whom I take refuge, my shield, and the horn of my salvation, my stronghold.

Context

1Nakupenda wewe, Ee Bwana, nguvu yangu. 2Bwana ni mwamba wangu, ngome yangu na mwokozi wangu, Mungu wangu ni mwamba, ambaye kwake ninakimbilia. Yeye ni ngao yangu na pembe ya wokovu wangu, ngome yangu. 3Ninamwita Bwana anayestahili kusifiwa, nami ninaokolewa kutoka kwa adui zangu. 4Kamba za mauti zilinizunguka, mafuriko ya maangamizi yalinilemea.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.