Native Bible

Psalms 17:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini.

Psalms 17:11 in English

Psalms 17:11 · Berean Standard Bible

They have tracked us down, and now surround us; their eyes are set to cast us to the ground,

Context

9kutokana na waovu wanaonishambulia, kutokana na adui wauaji wanaonizunguka. 10Huifunga mioyo yao iliyo migumu, vinywa vyao hunena kwa majivuno. 11Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini. 12Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye, kama simba mkubwa anyemeleaye mafichoni. 13Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe, niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.