Native Bible

Psalms 17:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye, kama simba mkubwa anyemeleaye mafichoni.

Psalms 17:12 in English

Psalms 17:12 · Berean Standard Bible

like a lion greedy for prey, like a young lion lurking in ambush.

Context

10Huifunga mioyo yao iliyo migumu, vinywa vyao hunena kwa majivuno. 11Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini. 12Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye, kama simba mkubwa anyemeleaye mafichoni. 13Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe, niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako. 14Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii, kutokana na watu wa ulimwengu huu ambao fungu lao liko katika maisha haya. Na wapate adhabu ya kuwatosha. Watoto wao na wapate zaidi ya hayo, hukumu na iendelee kwa watoto wa watoto wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.