Zaburi 17:13
Psalms 17:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe, niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako.
Psalms 17:13 in English
Psalms 17:13 · Berean Standard Bible
Arise, O LORD, confront them! Bring them to their knees; deliver me from the wicked by Your sword,
Context
11Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira,
wakiwa macho, waniangushe chini. 12Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye,
kama simba mkubwa anyemeleaye mafichoni. 13Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe,
niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako. 14Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii,
kutokana na watu wa ulimwengu huu
ambao fungu lao liko katika maisha haya.
Na wapate adhabu ya kuwatosha.
Watoto wao na wapate zaidi ya hayo,
hukumu na iendelee kwa watoto wa watoto wao. 15Na mimi katika haki nitauona uso wako,
niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.