Native Bible

Psalms 17:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Na mimi katika haki nitauona uso wako, niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.

Psalms 17:15 in English

Psalms 17:15 · Berean Standard Bible

As for me, I will behold Your face in righteousness; when I awake, I will be satisfied in Your presence.

Context

13Inuka, Ee Bwana, pambana nao, uwaangushe, niokoe kutokana na waovu kwa upanga wako. 14Ee Bwana, mkono wako uniokoe na watu wa jinsi hii, kutokana na watu wa ulimwengu huu ambao fungu lao liko katika maisha haya. Na wapate adhabu ya kuwatosha. Watoto wao na wapate zaidi ya hayo, hukumu na iendelee kwa watoto wa watoto wao. 15Na mimi katika haki nitauona uso wako, niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.