Native Bible

Psalms 17:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huifunga mioyo yao iliyo migumu, vinywa vyao hunena kwa majivuno.

Psalms 17:10 in English

Psalms 17:10 · Berean Standard Bible

They have closed their callous hearts; their mouths speak with arrogance.

Context

8Nilinde kama mboni ya jicho lako, unifiche chini ya kivuli cha mbawa zako 9kutokana na waovu wanaonishambulia, kutokana na adui wauaji wanaonizunguka. 10Huifunga mioyo yao iliyo migumu, vinywa vyao hunena kwa majivuno. 11Wamenifuatia nyayo zangu, sasa wamenizingira, wakiwa macho, waniangushe chini. 12Wamefanana na simba mwenye njaa awindaye, kama simba mkubwa anyemeleaye mafichoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.