Zaburi 149:7
Psalms 149:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ili walipize mataifa kisasi na adhabu juu ya mataifa,
Psalms 149:7 in English
Psalms 149:7 · Berean Standard Bible
to inflict vengeance on the nations and punishment on the peoples,
Context
5Watakatifu washangilie katika heshima hii,
na waimbe kwa shangwe vitandani mwao. 6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao
na upanga ukatao kuwili mikononi mwao, 7ili walipize mataifa kisasi
na adhabu juu ya mataifa, 8wawafunge wafalme wao kwa minyororo,
wakuu wao kwa pingu za chuma, 9ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao.
Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote.
Msifuni Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.