Native Bible

Psalms 149:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wawafunge wafalme wao kwa minyororo, wakuu wao kwa pingu za chuma,

Psalms 149:8 in English

Psalms 149:8 · Berean Standard Bible

to bind their kings with chains and their nobles with shackles of iron,

Context

6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao na upanga ukatao kuwili mikononi mwao, 7ili walipize mataifa kisasi na adhabu juu ya mataifa, 8wawafunge wafalme wao kwa minyororo, wakuu wao kwa pingu za chuma, 9ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.