Native Bible

Psalms 149:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao na upanga ukatao kuwili mikononi mwao,

Psalms 149:6 in English

Psalms 149:6 · Berean Standard Bible

May the high praises of God be in their mouths, and a double-edged sword in their hands,

Context

4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu. 5Watakatifu washangilie katika heshima hii, na waimbe kwa shangwe vitandani mwao. 6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao na upanga ukatao kuwili mikononi mwao, 7ili walipize mataifa kisasi na adhabu juu ya mataifa, 8wawafunge wafalme wao kwa minyororo, wakuu wao kwa pingu za chuma,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.