Native Bible

Psalms 149:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu.

Psalms 149:4 in English

Psalms 149:4 · Berean Standard Bible

For the LORD takes pleasure in His people; He adorns the afflicted with salvation.

Context

2Israeli na washangilie katika Muumba wao, watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao. 3Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi. 4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu. 5Watakatifu washangilie katika heshima hii, na waimbe kwa shangwe vitandani mwao. 6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao na upanga ukatao kuwili mikononi mwao,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.