Zaburi 149:2
Psalms 149:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Israeli na washangilie katika Muumba wao, watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao.
Psalms 149:2 in English
Psalms 149:2 · Berean Standard Bible
Let Israel rejoice in their Maker; let the children of Zion rejoice in their King.
Context
1Msifuni Bwana.
Mwimbieni Bwana wimbo mpya,
sifa zake katika kusanyiko la watakatifu. 2Israeli na washangilie katika Muumba wao,
watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao. 3Na walisifu jina lake kwa kucheza
na wampigie muziki kwa matari na kinubi. 4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake,
anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.