Native Bible

Psalms 149:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Msifuni Bwana. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, sifa zake katika kusanyiko la watakatifu.

Psalms 149:1 in English

Psalms 149:1 · Berean Standard Bible

Hallelujah!* Sing to the LORD a new song— His praise in the assembly of the godly.

Context

1Msifuni Bwana. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, sifa zake katika kusanyiko la watakatifu. 2Israeli na washangilie katika Muumba wao, watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao. 3Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.