Native Bible

Psalms 149:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi.

Psalms 149:3 in English

Psalms 149:3 · Berean Standard Bible

Let them praise His name with dancing, and make music to Him with tambourine and harp.

Context

1Msifuni Bwana. Mwimbieni Bwana wimbo mpya, sifa zake katika kusanyiko la watakatifu. 2Israeli na washangilie katika Muumba wao, watu wa Sayuni na wafurahi katika Mfalme wao. 3Na walisifu jina lake kwa kucheza na wampigie muziki kwa matari na kinubi. 4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake, anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu. 5Watakatifu washangilie katika heshima hii, na waimbe kwa shangwe vitandani mwao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.