Zaburi 149:5
Psalms 149:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Watakatifu washangilie katika heshima hii, na waimbe kwa shangwe vitandani mwao.
Psalms 149:5 in English
Psalms 149:5 · Berean Standard Bible
Let the saints exult in glory; let them shout for joy upon their beds.
Context
3Na walisifu jina lake kwa kucheza
na wampigie muziki kwa matari na kinubi. 4Kwa maana Bwana anapendezwa na watu wake,
anawavika wanyenyekevu taji ya wokovu. 5Watakatifu washangilie katika heshima hii,
na waimbe kwa shangwe vitandani mwao. 6Sifa za Mungu na ziwe vinywani mwao
na upanga ukatao kuwili mikononi mwao, 7ili walipize mataifa kisasi
na adhabu juu ya mataifa,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.