Native Bible

Psalms 149:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. Msifuni Bwana.

Psalms 149:9 in English

Psalms 149:9 · Berean Standard Bible

to execute the judgment written against them. This honor is for all His saints. Hallelujah!

Context

7ili walipize mataifa kisasi na adhabu juu ya mataifa, 8wawafunge wafalme wao kwa minyororo, wakuu wao kwa pingu za chuma, 9ili kuwafanyia hukumu iliyoandikwa dhidi yao. Huu ndio utukufu wa watakatifu wake wote. Msifuni Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.