Zaburi 147:5
Psalms 147:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi, ufahamu wake hauna kikomo.
Psalms 147:5 in English
Psalms 147:5 · Berean Standard Bible
Great is our Lord, and mighty in power; His understanding has no limit.
Context
3Anawaponya waliovunjika mioyo
na kuvifunga vidonda vyao. 4Huzihesabu nyota
na huipa kila moja jina lake. 5Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi,
ufahamu wake hauna kikomo. 6Bwana huwahifadhi wanyenyekevu
lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini. 7Mwimbieni Bwana kwa shukrani,
mpigieni Mungu wetu kinubi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.