Zaburi 147:7
Psalms 147:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwimbieni Bwana kwa shukrani, mpigieni Mungu wetu kinubi.
Psalms 147:7 in English
Psalms 147:7 · Berean Standard Bible
Sing to the LORD with thanksgiving; make music on the harp to our God,
Context
5Bwana wetu ni mkuu na mwenye uwezo mwingi,
ufahamu wake hauna kikomo. 6Bwana huwahifadhi wanyenyekevu
lakini huwashusha waovu mpaka mavumbini. 7Mwimbieni Bwana kwa shukrani,
mpigieni Mungu wetu kinubi. 8Yeye huzifunika anga kwa mawingu,
huinyeshea ardhi mvua,
na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. 9Huwapa chakula mifugo
na pia makinda ya kunguru yanapolia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.