Zaburi 147:9
Psalms 147:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia.
Psalms 147:9 in English
Psalms 147:9 · Berean Standard Bible
He provides food for the animals, and for the young ravens when they call.
Context
7Mwimbieni Bwana kwa shukrani,
mpigieni Mungu wetu kinubi. 8Yeye huzifunika anga kwa mawingu,
huinyeshea ardhi mvua,
na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. 9Huwapa chakula mifugo
na pia makinda ya kunguru yanapolia. 10Furaha yake haipo katika nguvu za farasi,
wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu. 11Bwana hupendezwa na wale wamchao,
wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.