Native Bible

Psalms 147:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu.

Psalms 147:10 in English

Psalms 147:10 · Berean Standard Bible

He does not delight in the strength of the horse; He takes no pleasure in the legpower of the man.

Context

8Yeye huzifunika anga kwa mawingu, huinyeshea ardhi mvua, na kuzifanya nyasi kuota juu ya vilima. 9Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia. 10Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu. 11Bwana hupendezwa na wale wamchao, wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma. 12Mtukuze Bwana, ee Yerusalemu, msifu Mungu wako, ee Sayuni,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.