Native Bible

Psalms 147:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana hupendezwa na wale wamchao, wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma.

Psalms 147:11 in English

Psalms 147:11 · Berean Standard Bible

The LORD is pleased with those who fear Him, who hope in His loving devotion.

Context

9Huwapa chakula mifugo na pia makinda ya kunguru yanapolia. 10Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu. 11Bwana hupendezwa na wale wamchao, wale wanaoweka tumaini lao katika upendo wake usiokoma. 12Mtukuze Bwana, ee Yerusalemu, msifu Mungu wako, ee Sayuni, 13kwa maana huimarisha makomeo ya malango yako na huwabariki watu wako walio ndani yako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.